Category: Elimu na Huduma
-
Huu Ndiyo Ushauri Ikiwa Unataka Kufikia Lengo Lolote,
Marafiki wawili John na Jeremy walikwenda kuomba kazi katika kampuni Fulani, Kwa habari nzuri wote wakapata kazi na kuianza, Walifurahia kazi hiyo na kuona malengo yao yatatimia ndani ya muda mfupi, Hali walizokuwa nazo kabla hazitajirudia Tena, Baada ya kufanya kazi kwa takribani miezi mitatu Jeremy alipandishwa cheo ya bosi ya kampuni hiyo, John Ali…
-
Siri Hii…
Je unapitia changamoto ya kuanza Mambo na Kisha kuacha baada ya muda Fulani? Au, Unaanza na unakata tamaa unapo karibia hitimisho? Leo Siri moja kubwa kutoka kwa waliofanikiwa, Yaani Mabilionea zaidi ya Mia tatu Dunia nzima, Nayo Ni *Uthubutu* Kila unayemuona akiwa juu Leo alikuwa chini, Kila unayemuona Ana furaha Leo alikuwa na huzuni, Kila…
-
Je wewe huwa unafanya kosa Hili?…
“Mdomo wako utakuponza” Unaelewa Nini unapoambiwa msemo huo? Leo nitakwambia kosa ambalo wenye Njozi (Ndoto kubwa) wengi hufanya, Na hatimaye kuchelewa Kutimiza Njozi zao au hata Kutotimiza kabisa, Haya hebu tuanze, Karibu kila mtu amepewa mdomo, Lakini sio kwamba kila wakati na kila sehemu ukiwa na kila mtu unatakiwa kuongea, Yaani Kufungua mdomo wako…e Kwa…
-
Ikiwa unataka kufikia lengo kubwa maishani kwanzia sasa, Fuatilia Mambo haya matatu kwa umakini.
Katika kila nyanja ya maisha Kuna malengo fulani yanawekwa na matarijio fulani yanakuwepo. Bila hata wewe katika maisha yako unatamani kufanya jambo Fulani lakini umekuwa unashindwa ufanyaje ili ufanikiwe. Leo nimekuandalia makala hii uweze kujua Mambo matatu ambayo waweza kufanya hata Sasa na kuanza kuona mabadiliko.Karibu. 1.Badilisha Viwango Vyako. Viwango ni kipimo cha mafanikio katika…
-
Asilimia 99.9 Ya waliofanikiwa walifuata Sheria hizi,Ukizifahamu Sasa hivi utakuwa Ni mmoja ya waliofanikiwa.
Mhandisi amekamilisha kutengeneza injini na anatoa Sheria ambazo lazima zifuatwe. Nini kitatokea iwapo kanuni hizo hazitafuatwa bila shaka injini itakufa na kuharibika kabisa. Hata katika maisha yako ikiwa hautafuata sheria maalumu kuhusu Ndoto zako hautafanikiwa. Zifuatazo Ni sheria nne ambazo Ni muhimu kufahamu ili uweze kuwa na mafanikio makubwa katika maisha yako. 1.Sheria ya Imani…
-
Maadui Wakubwa Wawili…
Hivi unajua kuwa woga na Ujinga ndiyo maadui wakubwa katika kufikia njozi yako? Mwanafalsafa mmoja amewahi kusema kati ya eneo lenye utajiri mkubwa duniani ni makaburini. Yaani kujua watafanyeje kushinda Ni kwa sababu kwa walishindwa kuwashinda maadui hawa wawili. Sasa Hawa ndio maadui wakubwa wawili wa Njozi yako. 1.Woga. Hivi Ni hisia gani unazipata pale…